Asilimia ishirini na moja ya kampuni za ujerumani tayari wanafanya biashara na wateja waafrika. Kwa mda wa miaka mitano, kiwango cha kusafirisha kimeongezeka mara mbili kutoka ujerumani kupitia bara la afrika. Kampuni za ujerumani na kundi la wanabiashara wanatarajia ongezeko la asilimia kumi na tano kwa mda wa miaka kumi zijazo. Soko la wanunuaji wa watu billioni moja katika nchi hamsini tofauti ziko tayari kuendelea.
Nchi za Afrika kwa upande mwingine kwa sasa wanapata kiwango kikubwa cha pesa kwa mradi wa barabara, poti, laini za reli na stima zilizopandwa. Pesa zinazopokelewa kutoka bidhaa zilizouzwa na kupanda kwa bei ya bidhaa duniani imejaza mifuko ya nchi nyingi za afrika. Afrika imekua na ujasiri wa kipekee, afrika ni bara la nafasi.
"Africa leo, tunajua kuhusu ununuaji wa bidhaa na faida, si misaada,
ni vigingi vya maendeleo."
Paul Kagame, Rais wa Rwanda.